Jumamosi, 22 Aprili 2017

Bidii bila MUNGU ni bure

Watu wengi wamejitahidi kutafuta maisha kwa bidii zao zote, lakini walio wengi wamekua wanatumia nguvu nyingi, mafanikio yanakua kidogo.
Kwanini?....
Kwasababu kila mafanikio yana nguvu ya ziada ya kiroho, ambayo bila hiyo hakuna mafanikio.
Kwa wasomaji wa biblia watakumbuka kisa cha daudi na goliathi, daudi hakutumia nguvu nyingi Kumuangusha goliathi, bali alitumia jiwe moja tu! Miongoni mwa mawe matano aliyo kua nayo.
Kwa nini?..
Kwa sababu alikua na nguvu nyingine ya kiroho.
Walikuwepo watu mastadi wa Vita, na wenye zana zote za kivita za enzi zile, lakini hawakuweza kumpiga goliathi, kwa sababu hawakua na nguvu za kiroho ndani yao, bali walizitumainia nguvu/maalifa/akili zao ambazo hazikuwasaidia.
Hivyo basi mafanikio hayatamfikia mtu Kwa sababu tu anabidii Sana, bali kwa sababu ndani ya bidii zake Iko nguvu ya MUNGU itendayo kazi, ambayo ndiyo hasa itakayo mfanya mtu atoke chini kwenda juu.
Hivyo basi bidii bila MUNGU ni kujichosha kusiko na mafanikio.

Maoni 1 :

  1. Ushuhuda

    Nilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
    Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
    Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.

    Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:

    ✅ Maneno ya mapenzi
    ✅ Tahadhari za Ujauzito
    ✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
    ✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.

    📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
    📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159

    Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!

    JibuFuta